Jicho Pevu: Fulusi Za Nuhusi - pt.2

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Raia kutoka mataifa ya nje wamekuwa wakikaribishwa kwa moyo mkunjufu humu nchini pasi na kusumbuliwa. Hata hivyo wengi miongoni mwao wanadaiwa kujihusisha na kazi mbali mbali haramu nchini ikiwemo uuzaji wa madawa ya kulevya.Baada ya kuwachunguza na kufuata nyayo zao kwa muda mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali hatimaye alifaulu kufichua sakata yote ya uzalishaji wa pesa bandia kabla ya kuwavua nguo uchi wa mnyama jamaa wawili raia wa Congo na Cameroon waliokuwa na mazoea ya kuchuma mali ya watu wengine. kwa ngoma kamili kaa kitako na utazame jinsi mambo yalivyopangwa na kupanguliwa katika sehemu hii ya pili na ya mwisho ya makala haya Fulusi Za Nuhusi.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×