Ni dhahir kwamba maafisa wa kulinda usalama huko Garissa na viunga vyake wanajua yote yanayojiri na badala ya kuangalia usalama wa taifa hili wao wamegeuka na kuwa wafanyabiashara wa ulanguzi wa binadamu. Katika sehemu ya pili ya makala haya keche keche mpakani mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali amelizamia suala hili na kuibuka na taarifa ifuatayo.