Jicho Pevu: Wagigisi wa Mauaji ya Sh. Aboud Rogo (Rahimahullah) Part 2 (5 of 7)

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Jicho Pevu, kipindi cha KTN cha angazia Wagigisi wa Mauaji ya WAISLAMU wakiwemo Sh. Aboud Rogo(Rahimahullah) na wengineo. Wahusika wa mauaji ya kinyama wakiwemo polisi, NSIS, ATPU, masheikh wanafiki wa CIPK, SERIKALI YA KENYA na NYENGINEZO zikiwamo UGANDA, USA...... Wamewauwa ndugu zetu DHULMAN, lakini wame wapatia SHAHADA na UJRA mkubwa mbele ya ALLAH SUBHAANAHU WATAALA. Wengine wamewafunga majela na wengine kuwapoteza lakini NUSRA kutoka kwa ALLAH(SW) haipo mbali. Allah(SW) awasahilishie dhiki za jela, awape subra na ithbaati na awasahilishie kutoka magerezani. Na waliohusika na ukatili huu Allah(SW) awatokomeze ndani ya JAHANNAM na humu duniani awadhalilishe dunia iwatumbukie nyongo. Na familia zilizo achwa na ndugu zetu hawa Allah(SW) awape subra na ithbaati. Allah pia twakuomba uwapatie nusra mujaahidina kila mahali, uwapatie muongozo na nusra KUBWA. Muhammad Ali umefanya kazi mzuri ALLAH akupe ujra mkubwa kwa kazi hii na akuhufadhi na njama za MAKAFIRI na WANAFIKI mfano wa Sh Hassan wa Liwatoni.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×