Jicho Pevu: Bughudhi La Ugaidi 1

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Julai mwaka uliopita, zaidi ya watu 76 waliuawa kinyama katika shambulizi la kigaidi nchini Uganda. kilichofuata kilikuwa ni operesheni kali ya kuwasaka wahusika nchini Uganda na Kenya. kwa mujibu wa idara za usalama za nchi zote mbili ni kwamba mabomu yaliyotumika yaliundwa nchini Kenya. Kwa ngoma kamili huyu hapa mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali na sehemu ya kwanza ya makala haya bughudhi la ugaidi.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×