Jicho Pevu: Kirindanda cha Uhalifu pt.2

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Ni wazi ya kwamba majambazi wanazidi kuboresha na kutumia mbinu za kisasa katika kukwepa mitego ya polisi. Polisi pia sasa wamegeuka na kuwa walengwa sawia na wakenya wengine. Je, kasoro iko wapi? Na je, ni kwa nini serikali imeshindwa kuboresha na kuleta mabadiliko ndani ya idara za kiusalama? Mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali hii leo anaelekeza jicho lake kwa wizara ya usalama wa ndani pamoja na changamoto zinazowakumba maafisa wa polisi.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×