Jicho Pevu: Dawa za Karaha pt.2

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Licha ya serikali kuyumbayumba kuhusiana na masuala ya ulanguzi wa madawa ya kulevya huenda sasa vizazi vijavyo vikaathiriwa zaidi iwapo hatua kabambe haitachukuliwa dhidi ya walanguzi. Baada ya taarifa yetu ya jana, tayari jamaa mmoja aliyetupa habari amepokea vitisho kutoka kwa watu asiowajua. Ni vitisho ambavyo vinalenga kuzuia ukweli kujulikana bila kujali athari za ulanguzi wa dawa za kulevya kama anavyoelezea Muhammed Ali kwenye sehemu ya pili ya makala ya dawa za karaha hii leo.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×