Jicho Pevu Part 2; Ana kwa Ana na Maharamia

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

And for the jicho pevu part 2: ana kwa ana na maharamia, use same, description: waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele. Mtazamaji hii leo katika makala ya jicho pevu mwanahabari wetu mpekuzi mohammed ali anazidi kupiga mbizi katika ghuba la aden licha ya mawimbi makali akijaribu kuwakaribia maharamia nchini somalia kubaini ukweli wa mambo kuhusiana na uwiano wao na wakenya. Na kwa vile utamu wa kunywa uji ni kulitikisa kopo lenye uji huo, usiende mbali bali kaa kitako ujuzwe mengi usiyoyajua katika makala haya ya katika nyayo za maharamia sehemu ya pili.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×