Jicho Pevu Matapeli Tanashati Part 2

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Baada ya kuhangaika kwa muda katika uchunguzi wake wa kumsaka mshukiwa wa utapeli Margret Gacheru hatimaye mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali aligonga ndipo pale alipozuka na mama Margret Gacheru mzima mzima katika machimbo yake huko Ngong licha ya yeye kudaiwa kukwepa mitego ya maafisa wa polisi kwa kipindi cha muda mrefu. Katika sehemu ya pili ya makala ya matapeli tanashati mshukiwa wa utapeli aliyekuwa akisakwa kwa udi na uvumba hatimaye alijipata kuvuliwa magwandwa na sura yake mbele ya macho ya maafisa wa polisi. Kwa ngoma jiunge naye Mohamed Ali..

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×