Jicho Pevu KecheKeche Mipikani 3

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Baada ya kuhangaika kwa muda mjini Garissa, Hagdera, Liboi, Dagale pamoja na maeneo mengine mkoani kaskazini mashariki katika nyayo za kuwasaka walanguzi wa binadamu hatimaye mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali aliamua liwalo na liwe kiasi cha kumlazimu yeye binafsi pasi na woga kuingia katika machimbo ya walanguzi wa binadamu na kupambana nao ana kwa ana licha ya hatari iliyokuwepo kabla ya kuzuka mzima mzima na ukweli wa mambo. Kama kawaida twakusihi ujitulize kama kasuku na kujionea jinsi ngoma ilivyosukwa.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×