Jicho Pevu: Fashisti Ya Wagalla Part 1

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Ni miaka 26 tangu mauaji ya kinyama ya wagalla ambapo makumi ya watu wanadaiwa kuuawa kikatili na wanajeshi wa Kenya katika uwanja mdogo wa ndege wa Wagalla. Je, ni yapi yaliyojiri siku hiyo? na je, ni nani aliyetoa idhini ya kuuawa kwa watu wasio na hatia?kama kawaida yake mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali alizama na kuzuka mjini Wajir na kupekua pekua kila kona kabla ya kuibuka na mengi ya kustaajabisha na ya kuvunja moyo. Kwa ngoma kamili tunakusihi usibanduke maana ndio sasa ngoma inaanza.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×