Jicho Pevu: Fulusi za Nuhusi - pt.1

submitted by kimmskimani on 11/27/13 1

Mawaziri, wabunge, kina mama, wazee na hata vijana wameachwa mdomo waa wakitaka kujitajirisha kwa njia ya haraka kupitia matapeli wanaodai eti wanaweza kuzalisha pesa zaidi. Wengine wanasema ni mazingaombwe huku wengine wakidai zoezi hilo ni sawia na wizi wa mabavu. Je, ni kina nani hawa wanaowatapeli wakenya kila kukicha? na je, ni mbinu zipi wanazotumia? waswahili husema gota gogo usikie mlio na ndiposa hii leo mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali kama kawaida yake aliamua kuzama na kuzuka kubaini ukweli wa mambo kuhusiana na sakata hii yote ya uzalishaji pesa al-maaruf kwa lugha ya kimombo wash wash . kwa ngoma kamili nakusihi usibanduke wala kubonyeza kidude.

Leave a comment

Be the first to comment

Collections with this video
Email
Message
×
Embed video on a website or blog
Width
px
Height
px
×
Join Huzzaz
Start collecting all your favorite videos
×
Log in
Join Huzzaz

facebook login
×
Retrieve username and password
Name
Enter your email address to retrieve your username and password
(Check your spam folder if you don't find it in your inbox)

×