Mara nyingi mambo yanavyomuendea mtu kinyume, maombi huhitajika hususan tambiko lindaliwe na kumtoa ibilisi huyo. Lilikuwa juma lingine ambalo binadamu waliendelea kuonekana wana umbo lingine ambalo ni la kuwakanganya watu, na rais za vimbanga vya wanasiasa wakitaka biblia takatifu itimizwe na yote yaliomo.